Klabu ya arsenal maarufu kama washika bunduki leo imejikuta ikipokea kichapo cha bao 3-1 dhidi ya liverpool.
Liverpool walipachika mabao yao kupitia r.firmino dakika 9' s.mane 40' g.wijnaldum 90+1 huku bao la kufutia machozi likifungwa na d.welbeck 57.
Kwa mchezo huo arsenal atabaki nafasi ya 5 kacheza mechi 26 point 50 sare 5 kashinda 15 lakin upande wa liverpool mechi 27 nafasi ya 3 sare 7 kashinda 15 point 52
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni