Lebo ya muziki wa kizazi kipya naarufu kwa jina la WCB imekuja kivengine baada ya kuanzisha tovuti yao
Tovuti hiyo itakuwa na kazi ya kuweka nyimbo za wasanii wanaomilikiwa katika lebo hiyo pia amesema mmoja wa waanzilishi wa WCB kuwa kila nyimbo itauzwa kwa shilingi 500.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni