Klabu ya simba ipo dimbani ikicheza na mbeya city jijini dar es salaam(uwanja wa taifa).
Simba ikitafuta nafasi ya kutwaa ubingwa wa tanzania bara huku akiongoza akifatiwa na klabu ya young african.
Simba anaongoza ligi kwa point 4 nyuma ya young african lakin simba inapata wakat mgumu katika mechi hii ya leo.
Tayar simba anaongozwa kwa bao 1-0 dhidi ya mbeya city.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni