Klabu ya manchester united katika hali isiyotegemewa amepata draw katika mechi yake dhidi ya bournemouth leo.
Manchester united chini jose mourinho wamechishana nguvu kwa goli 1-1 na bournemouth.
Kwa matokeo hayo man united anbakia katika nafasi ya 6 kwa point 46.
Lakin katika mechi hiyo ilishudiwa zlatani ibrahimovic akikosa penalt dakika 72.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni