Jumamosi, 4 Machi 2017

Simba yaambulia sare leo.

Timu ya wekundu wa msimbazi imejikuta ikiambulia sare ya 2-2 dhidi ya mbeya city.

Simba kinara wa ligi kuu ya tanzania bara ikishika usukani kwa point 55 leo imejikuta ikilazimisha sare dhidi ya mbeya city jijini dar es salaam.

Magoli ya simba yamefungwa na ajib 65',kichuya 86' kwa upande wa mbeya city bao zimefungwa na nchimbi 37',kenny ally 78'.

Tayar simba ashacheza mechi 24 katoa sare 4 kashinda mechi 17,

Mbeya city yupo nafasi ya 7 kashinda mechi 7 draw 9 kafungwa mechi 8.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni