Jumamosi, 4 Machi 2017

Tetesi :Mourinho kusajili hawa msimu ujao.

Klabu ya manchester united ipo katika mkakati wa kuboresha safu ya kiungo na beki zake.

Kwa tetesi zilizotufikia josse mourinho yupo tayar kumsajil kiungo wa real madrid tom kroose ili kuboresha safu yake ya kiungo.

Vile vile manchester united inamtaka kumsajil kiungo wa klabu ya tottenham eric dier kwa paun mil 35 ili kuipa nguvu nafasi hiyo ya kiungo.

Kwa upande mwengine klabu ya manchester united inajiandaa kuboresha safu yake ya difensi kwa kutaka kumsajili beki wa real madrid verane.

Manchestet united mpaka sasa inasuasua kwa kubakia nafasi ya 6 inatak kusajili waChezaji hao msimu ujao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni