Jumapili, 5 Machi 2017

Angalia hapa mechi zitakazochezwa leo ligi ya tanzania bara.

Ligi kuu tanzania bara inaendelea leo ikiwakutanisha mabingwa watetezi young african dhidi ya mtibwa mkoani morogoro.

Yanga inatafuta point tatu kuongoza ligi ya tanzania bara lakin kwa upande wa mtibwa wao wanajiweka nafasi nzuri katika ligi.

Mechi yengine inawakutanisha mwadui(shinyanga) dhidi ya africa lyon ya mwanza.

Mechi hizo zitapigwa mida ya saa 10:00 alasir.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni