Jumamosi, 4 Machi 2017

IGP ernest mangu atoa vyeti,zawadi kwa askari mkoani mwanza.

Mwanza. Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu ametoa vyeti na zawadi za utendaji kazi mzuri kwa askari wa vikosi mbalimbali.
Askari hao kutoka vitengo vya upelelezi, mbwa na farasi, usalama barabarani, kikosi cha reli, kikosi cha maji, kikosi cha mawasiliano pamoja na kikosi cha kuzuia ghasia walikabidhiwa vyeti pamoja na Sh500, 000, mifuko 10 ya saluji na seti ya vyombo vya kupikia vyenye thamani ya Sh90,000.
Mangu alitoa zawahi hizo juzi katika viwanja vya polisi Mabatini jijini Mwanza kwa askari 30 kutoka vitengo mbalimbali waliofanya vema mwaka jana kwa kuonyesha nidhamu kazini pamoja na kufanikisha mapambano dhidi ya uhalifu na majambazi.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi aliwataka askari waliokabidhiwa zawadi hizo kutobweteka na mafanikio hayo, bali yawe chachu ya kufanya kazi kwa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni